OMBA MUNGU NA FURAHA — Cantiques EUJC

N° 474

OMBA MUNGU NA FURAHA

Refrain

Omba mungu na furaha , omba mungu na furaha omba mungu na furaha daima , daima milele.

-Ndugu yangu ukiomba faraja , faraja utabaki nayo daima , daima milele

-Ndugu yangu ukiomba upendo , upendo utabaki nayo daima , daima milele.

-Ndugu yangu ukiomba uzima , uzima utabaki nayo daima , daima milele.