N° 480
NALIA MIMI NAOMBOLEZA
Refrain
"Nalia mimi naomboleza "2x yakini mimi jehoa mungu sipate jibu .
1.
Mungu kwa rehema yako "Ulie mutowa lutu mungu wangu katika sodoma "2x
2.
"Mungu kwa upendo wako " "Ulie mutowa yesu mungu wangu aniokowe mimi "2x
3.
Mungu na jirika kwako "Mimi naomboleza kwako mungu wangu ni pate uzima "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand