N° 481
YESU KAMWAMBIA BABA EH BABA NENDA DUNIANI
1.
Yesu kamwambia baba eh baba nenda duniani hukoo AAAH !! nenda kwa kuokoa chochote kilicho potea ¨Atakae amini kila yeyote amwaminie hawezi kufa kamwe ¨2x
Refrain
Baba twakushukuru , twakushukuru mungu baba kwani roho ameshuka.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
-Mufalme twakushukuru , twakushukuru mfalme yesu neno limetimia. -Roho twakushukuru , twakushukuru roho mfariji ameingia mioyoni -Basi leo tupo , tupo na furaha kubwa furaha ya shangwe kubwa
( Yesu kawambia wafwasi ) wafwasi furahini kwenda kwenda kwangu AAAH !! Baadaye roho atawashukia kwajili awachukuwe ¨Na roho mufariji atapaa na watu wake wote wana wa israeli ¨2x
Leo roho ameshuka , ameshuka kwao walio mwamini AAA !! wameriti muji waamani mulima wa sayuni ¨Uyo yerusalema yerusalema wa mbinguni muji wa shangwe kubwa ( wa furaha kubwa ) ¨2x