TUPO KATIKA MASHINDANO — Cantiques EUJC

N° 489

TUPO KATIKA MASHINDANO

1.

Tupo katika mashindano ya vita na shetani "Uweza wako wewe jehova mungu utulinde "2x (Utulinde baba )

2.

Tupo katika mashindano ya vita na shetani "Uweza wako wewe yesu mwana utulinde "2x (Utulinde yesu )

3.

Tupo katika mashindano ya vita na shetani "Uweza wako wewe roho mwema utulinde "2x (Utulinde roho )

Commentaire

Com : -Utulinde baba : Uweza wako wewe jeho va mungu utulinde

-Utulinde yesu : Uweza wako wewe yesu mwana utulinde

-Utulinde roho : Uweza wako wewe roho mwema utulinde