JEHOVA MUNGU UTULINDE — Cantiques EUJC

N° 490

JEHOVA MUNGU UTULINDE

1.

Jehova mungu utulinde baba huu wakati wa vita ¨Sisi vifaranga viako eh baba ulinde huhai wetu ¨2x

Yesu mwana utulinde yesu huu wakati wa vita ¨Sisi vifaranga viako eh yesu ulinde huhai wetu ¨2

Roho mwema utulinde roho huu wakati wa vita ¨Sisi vifaranga viako eh roho ulinde huhai wetu ¨2x