NASTAHILI KUOMBA — Cantiques EUJC

N° 491

NASTAHILI KUOMBA

1.

Nastahili kuomba bwana vitu ni pendavio kwani yeye unena aobae upewa .

Refrain

( Haleluya tuombe ) ¨Tuombe bwana baba wa mbingu (tuombe ) tuombe bwana wokovu haleluya ¨2x (haleluya ) tuombe bwana baba wa mbingu ( tuombe tuombe bwana wokovu.

Nastahili kumwitaji ili niwe naye kwani yeye aliniahidi haitaji huona.

Nastahili kuubisha kwenye mulango wa bwana kwani yeye hatani pinga kunifungulia

Napenda ngome imara ya amani yangu ni mahali pa furaha ya ibaada kweli.