BABA TUNAKULILIA 2X — Cantiques EUJC

N° 492

BABA TUNAKULILIA 2X

1.

"Baba tunakulilia "2x Jehova mungu tuna kulilia tufunikwe nasi na wingu "Mungu mumbaji tuna kulilia tufunikwe nasi na wingu "2x Mumbaji wetu tunakulilia tufunikwe nasi na wingu.

2.

"Yesu tunakulilia "2x mwana wa mungu tunakulilia tufunikwe nasi na wingu "yesu masiya tunakulilia tufunikwe nasi na wingu "2x "Mwokozi wetu tunakulilia tutufunikwe nasi na wingu "2x

3.

"Roho tunakulilia "2x roho wa salama tunakulilia tufunikwe nasi na wingu "Roho wa faraja tunakulilia tufunikwe nasi na wingu "Roho damilifu tunakulilia tufunikwe nasi na wingu "2x