BABA FUNGUWA MBINGU — Cantiques EUJC

N° 494

BABA FUNGUWA MBINGU

1.

"Baba funguwa mbingu "2x jehova fungua mbingu wana wako wanalia.

2.

"Yesu funqua mbingu "2x mwana wa mungu fungua mbingu uwokowe wana wako.

3.

"Roho fungua mbingu "2x roho mufariji fungua mbingu ufariji wana wako.