JEHOVA MUNGU NALIA BABA — Cantiques EUJC

N° 496

JEHOVA MUNGU NALIA BABA

1.

"Jehova mungu nalia baba mufalume wangu ni wewe "2x "( baba tazama ) tazama moyo ufazaika na mambo ya dunia "2x

2.

"Yesu mwana nalia yesu mukombozi wangu ni wewe "2x "(yesu tazama ) tazama moyo ufazaika na mambo ya dunia "2x

3.

"Roho mwema nalia roho mufariji wangu ni wewe "2x "( Roho tazama ) tazama moyo ufazaika na mambo ya dunia "2x