TAZAMA MUSA HAKUMUJUA MUNGU — Cantiques EUJC

N° 498

TAZAMA MUSA HAKUMUJUA MUNGU

1.

Tazama Musa hakumujua mungu Musa hakumujua mungu kamwambia mumbaji tubu uwovu wako ."( Musa ! ) nilikuchagua "2x "Katika wana israeli ulikua bubu "2x

Refrain

Eh ! wajoli kumbuka mumbaji wako wako

-Ni kikufuru mungu nitaendea nani mumbaji unirehemu.

-Ni kikufuru mungu nitaimbia nani mumbaji wangu unirehemu.

2.

"Yakobo hakumujua mungu "2x "Alikataa Yusufu kusimama mbele yake "2x "Yakobo ni likuguwa wewe "2x "Kati yako na Esau yakobo nilikupenda "2x

3.

"Ibrahimu hakumujua mungu alikataa kufukuza hagari na mwana wake."2x Ibrahimu nilikuchaguwa wewe katikati ya kondoo na mbuzi nilikupenda.