JEHOVA MUNGU ANANENA — Cantiques EUJC

N° 5

JEHOVA MUNGU ANANENA

1.

1. Jehova Mungu ananena, ananena watu wote njoni (njoni leo) njoni, wote, njoni wote yeye anawalika.

Refrain

Neno la uzima linanena (linanena) watu wote

njoni (njoni leo) njoniwote, njoni wote linawalika wote.

3.

2. Yesu wa Mungu ananena (ananena) watu wote njoni (njoni leo) njoni wote, njoni wote yeye

anawalika.

3. Roho damilifu ananena (ananena) watu wote njoni (njoni leo) njoni wote, njoni wote yeye anawalika.