DAUDI MUTU WA VITA — Cantiques EUJC

N° 143

DAUDI MUTU WA VITA

1.

Daudi mutu wa vita (Daudi), Bwana kamupa ushindi Daudi wa kushinda Goliati. Bondeni mwa yordani wakifia ufalme.

SOURCE_BLOCK

Ushindi wa nan iwa Daudi, wa nani wa Daudi mufalme wa kupigana vita.

Commentaire

- Wa kushinda madui wa Daudi, wa nani wa Daudi mfalme

SOURCE_BLOCK

Walipo kuwa mulimani Goliati kasimama, mwenye urefu wa mikono sita na nusu mukuki mkononi mwake tushuke bondeni. Daudi kaona ndani mwake mulikuwa mawe mbili akaiweka kwenye kombeo akapiga Goliati mu uso akanguka Daudi mushindi kakata kichwa akaenda nakyo yerusalema.

Commentaire

- Kwa kuonesha ushindi kakata kichwa akaenda nakio yerusalema

- Kwa kuonesha ufalme