JEHOVA MUNGU EH MUNGU WANGU — Cantiques EUJC

N° 145

JEHOVA MUNGU EH MUNGU WANGU

1.

Jehova mungu eh mungu wangu Na kuita leo baba unirshindie vita.

Commentaire

- Mumbaji wangu na kuita leo baba unishindie vita

- Mufalme wangu

- Tegemeo langu

SOURCE_BLOCK

Ulimuokowa Abramu, ulimuokoa na Lutu, ukamushindia Daudi unishindie vita, Na kwita yesu mwana unishindie vita

Commentaire

- Kweli vita ni kali na kwita yesu mwana unishindie vita

- Vita yote ya ndani

- Vita yote ya inje

SOURCE_BLOCK

Sauli unipiganisha, Goliati unipiganisha, zige nange unipiganisha sikia roho mwema unishindie vita

Commentaire

- Roho wa mitume sikia roho mwema unishindie vita

- Roho wa Kadima

- Roho wa mababu

SOURCE_BLOCK

Kweli vita ni kali vit aya pembe yote