WAISRAELI KUNYANYUWA SANDUKU YA BWANA — Cantiques EUJC

N° 146

WAISRAELI KUNYANYUWA SANDUKU YA BWANA

1.

Waisraeli kunyanyuwa sanduku ya bwana kwa shangwe miguu sita mfalme kacheza "2x mfalme Daudi akafunga Efondi .

Refrain

Nasi wajoli wangu tudumu katika uduma huwo tazama Delila musaliti kweli wa neno la uzima ,

Commentaire

Com : - Tazama Yudas musaliti naye wa neno la uzima -Tazama na wewe " " " " " " " Jazareni " Basi wajoli wangu tumwimbie yoyoyo tumwimbie mufalme. "2x

2.

Mikali katika dirisha katazama Daudi yeye kamutusi moyoni mwake kwani amejifunuwa, mufalme Daudi akuacha kuimba , mufalme Daudi akuacha kucheza.

3.

Yesu kapewa mamlaka yote ( mamlaka) ya mbinguni na duniani tumwimbie yoyoyo tutukuze mfalme.