WAKAMUTUPA DANIELI PANGONIMWA SIMBA — Cantiques EUJC

N° 161

WAKAMUTUPA DANIELI PANGONIMWA SIMBA

1.

Wakamutupa Danieli pangoni mwa simba kwani alikuwa mufanya kazi wa mungu wa uzima kila siku siku zote mara tatu , chumba chake cha juu madirisha wangalia mu yerusalem.

Refrain

Mwalimu Danieli , Danieli wewe pangoni mwa simba "2x Basi tazama Danieli simba akumula yoyo kwa jina la mufalme "2x Tazama kerubi, kerubi wa mufalme wa bwana kafungae simba.

2.

Ili neno la mfalme dario : Mungu wa Danieli ahimidive "2x akuna mungu mwingine inchini mwangu.

3.

"Wakija na jambo la duniani kwa wewe mujoli "2x basi wewe ujuwe neno la mungu unalo litakuokowa pangoni mwa simba , litakuokoa mu mambo ya dunia.