N° 163
MATESO MAKALI YA YOBU
1.
Mateso makali ya yobu "Eh yobu hakumwacha bwana kwa kupata mateso "2x taabu nyingi kamujia wana wake wakafa eh yobu kwa kupata mateso.
Refrain
Mwanadamu wewe usikufuru mungu ukipata mateso .
2.
Muke wa yobu kamwambia ukufuru mungu ukifwata njia za mababu utaishi nami tazama yobu akumjibu kitu kamusii mumbaji , rafiki wa tatu wa kamujia mbele ya yobu eh yobu akunena kamwe mambo yote wanenayo.
Commentaire
Com : -Ya kumuhasi mungu akunena kamwe mambo yote wanenayo.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Magonjua njiani usikufuru mungu ukipata mateso -Mateso njiani " " " " " "