MIMI YOBU — Cantiques EUJC

N° 169

MIMI YOBU

1.

Mimi yobu ni meteswa mwilini "2x "Ewe mungu muzima shuka leo unione"2x

Refrain

Kweli wa ngombe wa menishutumu mungu wenu yuko wapi .

Commentaire

Com : -Marafiki wa bava wamenishutumu mungu wenu yuko wapi -Majirani wa baya " " " " " " " " Ewe mungu muzima shuka leo unione .

2.

Mungu muzima mwili umeteswa sana "nafsi imesongwa sana mimi ni muombe nani "2x "Ewe mungu muzima shuka leo unione "2x