N° 413
NAKUALIKA JEHOVA MUNGU WANGU
1.
"Nakualika jehoa mungu wangu usiwe mbali uwenami "2x Mufulume wangu njooo maadui wamenizuru.
2.
"Nakualika sikia yesu mwana usiwe mbali uwenami "2x mukombozi wangu njooo maadui wa sinizuru.
3.
"Nakualika sikia roho mwema usiwe mbali uwenami "2x Mufariji wangu njooo maadui wa sinizuru.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand