BABA TUNANZA KAZI YAKO LEO — Cantiques EUJC

N° 438

BABA TUNANZA KAZI YAKO LEO

1.

"Baba tunanza kazi yako leo , bwana mungu tunanza kazi yako leo , "Utume malaika , aje kutuuchunga ~2x

Commentaire

Com : -Utume malaika atupiganie vita

-Mikaeli " " " "

-Samusoni " " " "

-Gideoni " " " "

Nafutali " " " "

2.

Yesu mwana tunanza kazi yako leo , mwana mungu tunanza kazi yako leo "Utume malaika aje atuchunge "2x

3.

Roho mwema tunanza kazi yako leo , roho mwema tunanza kazi yako leo "Utume malaika aje atuchunge ~2x