N° 457
JEHOVA MUNGU MUNGU MUMBAJI
1.
Jehova mungu , mungu mumbaji (jehova) jehova jina lako uniongoze basi wewe tangulia mbele yangu mumbaji wangu ( mumbaji wangu ) uniongoze
2.
( Yesu mwana ) yesu mwana , mwana wa mungu (kristu ) kristu jina lako uniongoze basi wewe tangulia mbele yangu ( mwokozi wangu uniongoze)
3.
Roho mwema , roho mwema , roho wa faraja , faraja faraja iwe kwako mufariji wangu mufariji wangu unifariji.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand