N° 488
SISI TUPO HEMANI
1.
"Sisi tupo hemani karibia jehova mungu karibia "2x jehova mungu karibia mungu mmubaji wetu karibia jehova mungu karibia mmubaji wetu karibia.
2.
"Yesu tupo hemani karibia yesu masiya karibia "2x yesu masiya karibia , mwana wa mungu karibia yesu masiya karibia mukombozi wetu karibia .
3.
"Roho tupo hemani karibia majeshi ya mbingu karibia "2x roho wa salama karibia , roho mufariji karibia roho wa salama karibia , mufariji wetu karibia.
4.
"Sisi tupo hemani karibia majeshi ya mbingu karibia "2x eh Mikaeli karibia eh Samsoni karibia , eh Gideoni karibia majeshi ya mbingu karibia.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand