N° 5
JEHOVA MUNGU ANANENA
1.
Jehova Mungu ananena, ananena watu wote njoni (njoni leo) njoni, wote, njoni wote yeye anawalika.
Refrain
Neno la uzima linanena (linanena) watu wote njoni (njoni leo) njoniwote, njoni wote linawalika wote.
3.
Yesu wa Mungu ananena (ananena) watu wote njoni (njoni leo) njoni wote, njoni wote yeye anawalika.
4.
Roho damilifu ananena (ananena) watu wote njoni (njoni leo) njoni wote, njoni wote yeye anawalika.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand