YESU UKUALIKAA — Cantiques EUJC

N° 6

YESU UKUALIKAA

1.

Yesu ukualika njonii, yesu ukualika wewe

SOURCE_BLOCK

njonii (njoni kua yesu) njoni uchukuwe nawe nira yangu hii, (nira yangu hii) nira yani musalaba. 2x

Refrain

- baba yangu

- ata ukiwa mwenye ulozi

- ata ukiwa mutenda zambi (Twimbe haleluya, haleluya)2x

3.

Fahari na iwe kwake Mungu wa mbingu p amani na iwe inchini