N° 152
NINA TUBU
1.
Nina tubu mimi nipate uzima bwana ni metoa vitu viangu viote uniokoe mfalme chukuwa matajiri nipate uzima wa milele.
Refrain
Bwana mungu ni metoa ee nimetoa na zaka ni pate uzima wa milele (toa basi)
2.
Naomboleza mimi nipate raha , bwana unirehumu baba ninyakuwe mbinguni , uniteuwe bwana nipate kuku Hudumia.
3.
Nauzunika mimi nipate uzima"2x bwana ni metoa vitu viangu viote ni vya bure via nikosesha uzima sita virudia tena.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Nimetoa na ya kila siku nipate uzima wa milele -Ni metoa na ya upendo " " " " -Ni metoa na ya haadi" " " "