N° 501
MUNGU WANGU , MUNGU WANGU EWE MUNGU WA MABABU
1.
Mungu wangu , mungu wangu ewe mungu wa mababu "Ni metubu zambi zangu kwako , kwako mungu wa rehema "2x
Refrain
Kweli kweli ewe mungu wa rehema ameja rehema na tena na kweli nyingi.
2.
Sasa leo ni mejuta kwa yale niliyo ya fanya na kiri sitarudi tena kuya tenda duniani.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Na ulozi wangu
-Na uchawi wangu