UKINGONI MWA MUTO YORDANI — Cantiques EUJC

N° 10

UKINGONI MWA MUTO YORDANI

1.

Ukingoni mwa muto Yordani, Elisa na joo ya Elia uko wapi Mungu wa Elia

njooni muone ujio wa Bwana njooni muone ujio wa Bwana (X2)

Refrain

Mihuri ya Bwana ni vichani mwetu

Atukuze Mungu wa uzima (X2)

Na mafuta tele tumepakaliwa

Atukuze Mungu wa uzima (X2)

Mamulaka yote tumekwisha pewa

Atukuze Mungu wa uzima (X2)

3.

Roho mwema usemi wa Yoweli aliahidiya wa mitume na kuhakikisha juu ya

Roho, Yuu aja yu miongoni mwetu, Yuu aja yu miongoni mwetu (X2).

4.

Hakikisho la kutakasika, ushirika wa uduma njema, ushirika wa Mungu na

watu, Roho mwema Roho wa Kristo, Roho mwema Roho wa Kristo (X2).