MUNGU ONESHA UWEZA — Cantiques EUJC

N° 10

MUNGU ONESHA UWEZA

1.

Mungu onesha uweza, onesha uweza wako, Mungu uonesha uweza, onesha

uweza wako “(ee sisi) twanena uweza wako, amboyo kila mutu (na mwili)

aweze kuitimiza” (X2)

2.

Yesu onesha uweza, onesha uweza wako, Yesu uonesha uweza, onesha uweza

wako “(ee sisi) twanena uweza wako, amboyo kila mutu (na m wili) aweze

kuitimiza” (X2)

3.

Roho onesha uweza, onesha uweza wako, Roho uonesha uweza, onesha uweza

wako “(ee sisi) twanena uweza wako, amboyo kila mutu (na mwili) aweze

kuitimiza” (X2)