N° 100
NINA KIRI ZAMBI ZANGU
1.
Nina kiri zambi zangu, (ee Baba) naja kwako nitakase, « kwani maovu
yanishinda ndio maana sijirike » (2X)
Refrain
Unitakase Baba, naja kwako leo Muumba wangu (2X)
Ee mien a bulozi bwangu ee, naja kwako wewe Muumba wangu
Mie na misingi mbaya ee, naja kwako wewe Muumba wango
Ee mie nabuovu bwangu, naja kwako wewe Muumba wango
Ee unitakase baba, naja kwako wewe Muumba wango
3.
Maovu ndani mwangu, makufuru sija acha, “naja kwako nitakase niwe na
uzima wako” (2X)
4.
Kinini kita nitenga mie na uduma wako (kweli) wala baba wala mama awawezi
kunitenga (vita kali) vita kali wala pepo abiwezi kunitenga, (matajiri) matajiri
marafiki awawezi kunitenga. (2X)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand