N° 103
MOYONI MWANGU AMUNA AMANI
Moyoni mwangu amuna amani, nikikumbuka siku ya kiama “itakuwa ni kilio
na kusaga kwa meno” (2X)
Ee siku ile ya mwisho itakuwa ni kilio na kusaga kwa meno
Siku ile ya Baba itakuwa ni kilio na kusaga kwa meno
Kwa kutenga wafalme itakuwa ni kilio na kusaga kwa meno
Kwa kutenga wa chawi itakuwa ni kilio na kusaga kwa meno
Refrain
Eee Mumbaji wangu, usiniache nipate aya, “kumbuka tabu na mateso yangu,
uniokoe kwa rehema nisiangimee”
Nita tubu vizuri uniokoe kwa rehema nisiangamie
Nita acha kuloka uniokoe kwa rehema nisiangamie
Nita tubu misingi uniokoe kwa rehema nisiangamie
Nita acha ulevi uniokoe kwa rehema nisiangamie
Nilipo amini uduma uyo, nikaji fanya mukamilifu, nikazarau watu wengine,
ukiniacha Bwana wangu nitasema nini
Ulo wako ole wangu mimi, maubiri ngapi nimekwisha pewa, uovu nao
autoweke, nilizaliwa vibaya ndani ya laana
Ee mukizazi kya nyoka nilizaliwa vibaya ndani ya laana
Baba yangu mu chawi nilizaliwa vibaya ndani ya laana
Mama yangu mulozi nilizaliwa vibaya ndani ya laana
Mie peke muzini nilizaliwa vibaya ndani ya laana
Mu kizazi cha imbwa nilizaliwa vibaya ndani ya laana
Mie peke muongo nilizaliwa vibaya ndani ya laana, …
NYIMBO ZA MAOMBI (CHANTS DE PRIERE)
« SAFARI YETU JEHOVA AA »
Safari yetu Jehova aa, tangulia mbele Mungu Baba,
Pamoja nasi, njiani pote mufalume (ee Baba)
Pamoja nasi, njiani pote mufalume.
Njiani muna mambo mengi,
Mitego, mashimo visiki, Jehova Mungu usiniache ; ee Baba
Mitego, mashimo visiki, Jehova Mungu usiniache.
Linda uwayi wa wanaaaa;
Walozi wana watafuta, (ee Baba) simba na chui unguruma;
(Ee kweli) walozi wana watafuta (ee Baba) simba na chui unguruma
Commentaires :
Ee kweli Samusoni uje, walozi wana watafuta ee Baba simba na chui unguruma
Kasieli uje walozi wana watafuta ee Baba simba na chui unguruma
Mikaeli uje walozi wana watafuta ee Baba simba na chui unguruma
Na Kadima baba walozi wana watafuta ee Baba simba na chui unguruma
Gabrieli uje walozi wana watafuta ee Baba simba na chui unguruma
Na Milemba mama walozi wana watafuta ee Baba simba na chui unguruma
Na Philippe uje walozi wana watafuta ee Baba simba na chui unguruma, …