N° 12
KUREJEA KWANGU KUNAFURAHISHA BWANA
Refrain
Kurejea kwangu kuna furaisha Bwana (Mungu wa Rehema) (X2) (yoyo eh)
yakini Baba nimekosea mbingu mimi yakini Baba ah ah nimetenda zambi
machoni pako « usiniite muzaliwa wako mimi ni mutumishi wako » (X2).
Maavazi yangu yamechafuka mimi muharibifu wa vitu vya Baba, maganda ya
miti chakula cha nguruwe ni chakula changu, « nimepotea, nimepotea,
nimepotea Baba yangu » (X2)
Niamuke niende kwenye Baba nilie eh, nimepotea, n ilie eh nimerejea,
« nimerejea, nimerejea, nimerejea baba yangu ».
Mmuvikeni mwana wangu kitani nzuri, mumuvikeni eh eh pete kwa kidole,
mumuvikeni iyi viato ku miguu, njoo tuimbe leo tufurahi we kwa ajili ya
mwana wangu njoo tuimbeleo tufurahi kwa ajili ya mwana wangu.
Commentaire à tour de rôle :
o Kwa ajili ya Mwana wangu, eyowa Aliyepotea eyowa
o Ya Mwana wangu eyowa Alipotelea waapi eyowa
o Mu kapombe eyowa Alipotelea waapi eyowa
o Mukabibi eyowa Alipotelea waapi eyowa
o Mu buchawi eyowa leo amerejea eyowa
o Ameogopa hukumu eyowa buchawi bumukome eyowa
o Kapombe kamukome eyowa na kabibi kamukome eyowa
o Sasa leo iko huru eyowa amerejea kwa Baba eyowa
Ee njoni twimbeee tufurhiwe kwa ajili ya m wana wangu, ee njoni twimbeee
tufurahiwe kwa ajili ya mwana.