N° 14
TIMIZA NAZIRI ZAKO KWA MUHUMBAJI
1.
Timiza naziri zako kwa mumbaji usitazame mawimbi,usitazame upepo
shambani,usitazame mawimbi tupa mbingu bahari itatulia(x2)
Refrain
Ole wangu, ole, ole wangu, babangu kanizaa mut u wa taabu, amenizaa mutu
wa vita nisiokopeshwa nimedaiwa ni siochukua nimenyanganywa njia ni
nimeshutumiwa na hatia,
“(oh J ehova) malaika wa B wana unitagulie, malaika uliejirika kwangu
kambini” (x2).
3.
Timiza nazir i zako kwa Muumbaji , kwa nini kulia ju ya mwiba neema yako
imekutosha utukufu wako ni ku mwiba huo (X2)
4.
Timiza naziri zako kwa Muumbaji, kama nilivyo kuwa na baba zako ndivyo
nitakavyo kuwa nawe sitakupungukia kamwe (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand