N° 14
NITAENDEA NANI NIKUPINGAPO WEWE
1.
Nitaendea nikupingapo wewe Jehava jiwe langu Jehova ngao langu
Refrain
Mungu usiwe mbali name Jehova usiniache kamwe jiwe langu unikinge
unijaze rehema, (jiwe) jiwe la tegemeo Bwana uniuwiye razi (X2)
3.
Naweka moyo wangu mikononi mwa Bwana nashangilia Mungu wangu anaye
niwezesha
4.
Moyo wangu usiogope uko na mu fariji na muchungaji mwema Bwana kwa kila
ziki zote
5.
Mungu wa Ibrahimu, wa Isaka Yakobo, jiwe la mu Sayuni Bwana uniuwiye
razi.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand