N° 15
NILIANGAIKA HAPA DUNIANI SIKUONA NJIA
1.
Niliangaika hapa Duniani sikuona njia (x2) ” Mungu wa rehema akatupa
Mwana wake kuniokowa” (X2).
Refrain
(Ah, ah wewe) wewe ni nani, na mimi ni nani ;
Mimi na wewe tumejiweka pahali pa Mungu kuhukumu wateule wake ;
Mimi na na wewe tumejiweka pahali pa Mungu kuhukumu wachaguliwa wake ;
Mimi na wewe tumejiweka pahali pa Mungu kuhukumu wapakaliwa mafuta (X2)
3.
Bwana Yesu alisema mimi ndimi Njia , kwa kuona kwa Baba mpaka mule
nilimopita, « wajoli wangu tuache Yesu Bwana atuongoze » (X2).
4.
Bwana Yesu alisema mimi muzabibu Baba yangu mukulima na nyinyi ni
matawi tawi litakalo jitenga nami lita eketea (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand