N° 15
TUPO KATIKA MASHINDANO
1.
Tupo katika mashindano ya vita ya Shetani “uweza wako wewe Jehova Mungu
utulinde (utulinde Baba)” (X2)
2.
Tupo katika mashindano ya vita na Shetani “uweza wako wewe Yesu Mwana
utulinde (utulinde Yesu)” (X2)
3.
Tupo katika mashindano ya vita na Shetani “uweza wako wewe Roho Mwema
utulinde (utulinde Roho)” (X2)
4.
Utulinde Baba uweza wako wewe Jehova Mungu utulinde (X2)
5.
Utulinde Yesu uweza wako wewe Yesu Mwana utulinde (X2)
6.
Utulinde Roho uweza wako wewe Roho Mwema utulinde (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand