N° 16
SALAMU KWENU
Salamu kwenu, salamu kwenu, salamu kwenu rafiki za Mfalme, nyi wajoli kwa
Neno la Mungu salamu kwenu na furaha kubwa « Jehova Mungu awalinde kwa
matendo yenu awalinde katika safari kwa tendo pia kwa tamko yeye ni
Mwamba » (X2)
Refrain
Basi wew e baba, nawe mama upingapo Neno la Mun gu basi wewe « utatupwa
katika Jehanamu » (X2).
Sisi sote (X3) tupo kama wageni jihazarini n a mambo wajoli ya Ulimwenguni
tutapata uzima « Yesu wa Mungu atatuokowa katika ziki zote atulinde katika
safari kwa tendo pia kwa tamko tusimukanushe » (X2).
MUNGU WA IBRAHIMU MUNGU WA ISAKAµ
Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo, ulitenda mambo
ya ajabu awali kwa walio wako, ulitenda mambo ya ajabu yoyoyo kwa walio
wako (ata kwa sasa) utende mambo ya ajazu yoyoyo kwa walio wako.
Refrain
Eh Mungu, unifariji katika uweza wako, unifariji
Eh Baba, unifariji katika uweza wako, unifariji
Eh Mwana, unifariji katika uweza wako, unifariji
Eh Roho, unifariji katika uweza wako, unifariji
Mungu kwa maajabu yako, Danieli pang oni mwa samba wala umizo wala
ukovu aukujirika mwilini mwake “ila Danieli akasitawi kwa utawala wa Dario
na Kiro mupersi”
Muti murefu ukajirika mulinzi toka mbingu akaukata “munyororo ukaufunga na
umande wa mbingu ukaotesha”.
Mungu wa uzima utende mambo ya ajabu yoyoyo kwa walio wako (hata kwa
sasa) utende maajabu yoyoyo kwa walio wako.