N° 16
TUPO HEMANI KARIBIA
1.
(Sisi tupo hemani) karibia Jehova Mungu karibia (X2) “ (ee kweli karibia Baba)
karibia Muumbaji karibia” (X2)
2.
(Yesu Tupo h emani) karibia Yesu wa Mungu karibia (X2) “ (ee kweli karibia
leo) karibia Mwana wa Mungu uu karibia” (X2)
3.
(Sisi tu po hemani ee) karibia Roho ndambilifu karibia (X2) (ee kweli karibia
Roho) karibia siri ya Mungu uu karibia” (X2)
4.
(sisi tupo hemani ee) karibia jeshi la mbingu karibia (X2)
(Ee kweli karibia jeshi) karibia jeshi la mbingu karibia
(Ee kweli Mikaeli uje) karibia ee Mikaeli karibia
(Ee kweli Anaeli uje) karibia Anaeli karibia
Na Gideoni uje karibia ee Gideoni karibia
Ee kweli Samusoni uje karibia ee Samusoni karibia,
Ee kweli karibia jeshi karibia jeshi la mbingu karibia, …
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand