MUCHUNGAJI MWEMA UNENA — Cantiques EUJC

N° 18

MUCHUNGAJI MWEMA UNENA

1.

Muchungaji mwema unena wote walio nitangulia “ni wizi na wanyanganyi

apa duniani” (wote) tuondokeni wote utumwani tumufwate Yesu (X2)

Refrain

(Eh watu) watu ufanya viashara kwa jina la Bwana

Wa Baba wa baba mutoleeni Mungu wetu vitu

Wa mama wa mama mutoleeni Mungu wenu vitu

« Watu awa wamepotea kwa ajili ya vitu »

Commentaire :

Wavala makoti awasikiye yoyoyo awaamini

Watu awa awasikiye yoyoyo awaamini

Wavalamitama awasikiye yoyoyo awaamini

Wa vula viato awasikiye yoyoyo awaamini

Wa swalaa awasikiye yoyoyo awaamini

Watu awa awasikiye yoyoyo awaamini

3.

(Kondoo), kondoo njema iliyo chaguliwa usikiya, hunifuata pia huingia na

kutoka juu ya mioy o ya watu “(wote) tuondokeni wote utumwani tumufuate

Yesu” (X2)

4.

Muchungaji wote wa mushahara yu na azina, yu na kiti, yu na fahari, yu na

ufalme apa duniani “(wote) tuondokeni wote utumwani tumufuate Yesu”(X2).