SAUTI YA ABELI TOKA SHAMBANI — Cantiques EUJC

N° 19

SAUTI YA ABELI TOKA SHAMBANI

1.

Sauti ya Abeli toka shambani ikalia shambani umo, shambani mwa Bwana (ee

baba), “nime uwawa bule nime uwawa na Kaini (X2)

Refrain

Ndugu tunafia nini, kila mutu na zawadi yake mbele yake Mungu, ata ukila

na kunywa, ata ukila na kunywa kwangu mimi si kitu, (kweli si ki tu baba)

sitaiga mutu

3.

Nilipokuwa umo shambani, nilipokuwa shambani mwa Bwana nilichukuwa

gongo sikuchukuwa upanga, ila Mungu pekee yake alikuwa mwamuzi wangu,

“gongo langue ee Baba limeongoza kondoo za Bwana” (X2)

4.

Yule joka akisha kw aribu, utafuta ufariki na nani (kweli) “yu paa mbinguni,

yu shushwa duniani utafuta ufariki na nani”(X2).