N° 2
NINYI NDEGE ZA MBINGU, PASHENI HABARI MU WATU
1.
Ninyi ndege za Mbingu, pasheni habari mu watu “ili Mungu wenu aimidiwe mu
dunia”(X2).
Ninyi Mbingu, Mbingu zitikisike, Mbingu zitikisike kweli (wokovu leo)
umekuja kwetu kweli, wokovu leo leo umekuja.
Refrain
Ju ya Neno Ima Mungu, nitaenda yoyoyo nitaenda nawe Mbinguni (X2)
Commentaires :
Kwa kuhubiri Neno, nitaenda yoyoyo nitaenda nawe Mbinguni
Kwa kufundisha watu, nitaenda yoyoyo nitaenda nawe Mbinguni.
3.
(Yesu uyu) Yes u wa Mungu alikuja duniani kukomboa watu hawa (wokovu
leo) umekuja kwetu kweli (wokovu leo leo) umekuja kwetu (X2).
4.
Enyi wake kujeni kwa Roho mwema, pokeeni Roho mwema wenu, (Roho
mwema uyu) aliyaidia baba zenu (Roho mwema uyu) aliyaidia baba zenu.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand