SISI TUPO HEMANI HEE — Cantiques EUJC

N° 2

SISI TUPO HEMANI HEE

1.

Sisi tupo hemani ee, karibia Jehova Mungu karibi (X2)

Ee kweli kariba Baba, karibia Mungu mumbaji karibia (2X)

2.

Sisi tupo hemani ee, karibia Yesu wa Mungu karibia

Ee kweli karibia Yesu, karibia Mwana wa Mungu

3.

Sisi tupo hemani ee, karibia Roha ndambilifu karibia

Ee kweli karibia Roho, karibia siri ya Mungu (X2)

4.

Sisi tupo hemani ee, karibia jeshi la mbingu karibia

Ee kweli karibia jeshi, karibia jeshi la mbingu

 Ee kweli Mikali uje, karibia Mikaeli karibia

 Anaeli uje, karibia Anaeli karibia

 Sashieli uje, karibia Sashieli karibia

 Jideoni uje, karibia Jideoni karibia

 Nafutali uje, karibia Nafutali karibia

 Ee kweli karibia jeshi, karibia jeshi la mbingu

 Ee kweli karibia jeshi, karibia jeshi la mbingu

 Ee kweli Samusoni uje, karibia Samusoni karibia

 Ee kweli Samusoni uje, karibia Samusoni karibia, …