N° 20
NITAZAMAPO UDUMA ULIO FANYA MUNGU
1.
Nitazamapo uduma ulio fanya Mungu kwa mikono yako hapa duniani (ee
mimi) “sina na furaha mu mambo yote ya uzima yangu apa duniani” (X2)
Refrain
Mungu akaumba mbingu na dunia, mito na bahari kubwa kazi ya mikono
yake Mungu wangu mpaka wewe akuna mwengine
Mungu muumbaji mpaka wewe akuna mwengine
Tegemeo langu mpaka wewe akuna mwengine
Kimbilo langu mpaka wewe akuna mwengine
Mafundisho bora mpaka wewe akuna mwengine
Mwamba ni Baba mpaka wewe akuna mwengine
3.
Mungu unitoe ku watu wa dunia ili nisione tabu ya mwisho wa dunia “( ee
wewe) wewe ulitowa Mwana wako wa pekee ili kila amwaminiye asife
kamwe”(X2)
4.
Kama ukiapa kwa Mungu wako usisite kamwe ulipe ahadi yako “( ee yeye)
yeye afurahi juu ya wajinga turejea kwake tulipe ahadi yake” (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand