MUNGU WANGU UNIONGOZE BABA — Cantiques EUJC

N° 20

MUNGU WANGU UNIONGOZE BABA

1.

Mungu wangu uniongoze Baba, Mungu wangu uniongoze sina mwengine wa

kutegemea Mungu wangu uniongoze (X2)

2.

Yesu wangu niokoe Yesu, Yesu wangu uniokoe nani atachukua mizigo yangu

Yesu wangu niokoe (X2)

3.

Roho Mwema nisaidie Roho, Roho Mwema nisaidie sina mwengine wa

kunifariji Roho Mwema nisaidie (X2)