N° 22
MOYO WANGU, MOYO WANGU MIMI
1.
Moyo wangu, moyo wangu mimi (X2) “(ee moyo wangu) mimi ni tayari kwa
kupata uzima” (X2)
Refrain
(Wewe wabaki wabaki yoyoyo) mimi ni tayari kupata uzima yoyo
Wabaki yoyoyo mimi ni tayari kupata Uzima wa milele
Wewe wabaki mu kuloka watu mimi ni tayari kupata uzima yoyo
Wabaki yoyoyo mimi ni tayari kupata Uzima wa milele
Wewe wabaki mu bulevi yako mimi ni tayari kupata uzima yoyo
Wabaki yoyoyo mimi ni tayari kupata Uzima wa milele
Wewe wabaki mu bwivu bwako mimi ni tayari kupata uzima yoyo
Wabaki yoyoyo mimi ni tayari kupata Uzima wa milele
3.
Jiazareni kwa kupata uzima (X2) (mujoli wangu) usiwe mu mambo , mu vitu
mu watu, usiukumu mal aika kwa jambo lao, usishutumu N eno hili nalo ni
roho. (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand