N° 23
YAWE YOYOYO AH YEWE
1.
Yawe yoyoyo, ah (X2) (Yawe), Yawe apendi kamwe wao wajikuz ao
wamuimidi Bwana na roho dhamilifu (X2).
Refrain
(Wakavuka bahari makubwa) wanenda kwa miguu (X2) yoyoyo
Wakaenda wakaenda wamushujudu Mungu
(Njaa kubwa nayo ikawashika) Bwana akawalisha (X2) yoyoyo
Wakaenda wakaenda wamushujudu Mungu
(Wakapotosha Musa mu jangwani) Bwana akawaokowa (X2) yoyoyo
Wakaenda wakaenda wamushujudu Mungu
3.
“Aibu yoyoyo ah (aibu), aibu ikawashika wao wajikuzao wamuimidi Bwana
na roho dhamilifu (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand