NDUGU WAGENI SIMAMENI WOTE — Cantiques EUJC

N° 24

NDUGU WAGENI SIMAMENI WOTE

1.

Ndugu wageni simameni wote tuwapokee tuwasalimu (ee katika) “katika jina

la Bwana Yesu, Mwokozi wetu na Bwana wetu”

Refrain

Eh Mwokozi, Mwokozi wangu pokea sadaka yangu, ninakusifu ewe Muumba

Wangu (X2)

3.

Eh Bwana Mungu ninakuomba kwa ajili ya awa wageni awa “uwapokeye

nyumbani mwako wapate nao kula na kunywa”

4.

Binti ya Farao amekuja leo kwa kujiosha katika maji, umuongoze amuone

Bwana aliye fichwa miezi mitatu.