UMOJA NGUVU ZETU — Cantiques EUJC

N° 24

UMOJA NGUVU ZETU

Refrain

(Umoja) umoja nguvu zetu, umoja wokovu wetu, umoja roho zetu (X2)

2.

(Sisi tupo) sisi tupo k ama kondoo iliyo fichwa zizini mwa Mufalme wetu Yesu

(X2)

3.

(Nasi tupo) nasi tupo na umoja taa ilio mezani na malaika mbinguni (X2)

4.

(Twashiriki) twashiriki Neno moka tukishirikia kikombe cha damu yake

Mwokozi (X2)

5.

(Ushiriki) ushiriki na kikombe uyafue matendo yako yasikulaani (X2)