N° 25
BWANA ALINITEULA TANGU UJANA WANGU
1.
Bwana aliniteul a tangu ujana wangu, jamani mwangu kwa kumuimidi,
muchana kutwa yoyoyo ndege za nyimbo zaimba Jeho va (utukuze Mungu)
ndege za nyimbo imba Jehova (X2)
2.
Ndege za nyimbo muteule kumutukuza Mungu, nipigwapo wala kushutumiwa,
(uduma) sitaacha kamwe yoyoyo ndege za nyimbo imba Jehova, (utukuze
Mungu) ndege za nyimbo imba Jehova (X2)
3.
Mimi nalichagua uduma nzur i (uduma) kazi nitakayo ifanya hata mbinguni (ee
kazi gani) ya kumuimidi muchana kutwa yoyoyo ndege za nyimbo imba
Jehova. (Tukuza Mungu) ndege za nyimbo imba Jehova (X2)
4.
Sitaacha kamwe ndege za nyimbo imba Jehova
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand