N° 25
MUNGU WANGU UNIONDOSHEE MWIBA
1.
Mungu wangu uniondoshee mwiba (X2) “Mimi mwana wako Baba nakuomba
uniondoshee mwiba” (X2)
2.
Yesu wangu uniondoshee mwiba (X2) “wewe Mwokozi wangu nakuomba
uniondoshee mwiba” (X2)
3.
Roho Mwema uniondoshee m wiba (X2) “Mimi mwana wako Roho nakuomba
uniondoshee mwiba” (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand