NINATUBU NIPATE UZIMA — Cantiques EUJC

N° 27

NINATUBU NIPATE UZIMA

1.

Nina tubu nipate uzima Bwana nimetowa vitu vyangu vyote

uniokowe“chukuwa matajiri nipate uzima wa milele, (Mufalme)”(X2)

Refrain

(Nimetowa) Nimetowa na zaka nipate uzima wa milele

Nimetowa na kila siku nipate uzima wa milele

Nimetowa nay a upenda na nipate uzima wa milele

Nimetowa na ya ahadi nipate uzima wa milele (X2)

3.

Naomboleza nipate raha Bwana unirehemu Bwana ninyakuwe

mbinguni“uniteule Bwana nipate kukuudumia” (X2)

4.

Nauzunika nipate uzima Bwana nimetowa vitu vyangu vyote ni vya bure

“vyanikosesha uzima sitavirudiliya tena” (X2)