MUHULA HUU TUNAO WA TAABU NA MAMBO — Cantiques EUJC

N° 27

MUHULA HUU TUNAO WA TAABU NA MAMBO

1.

1. Muhula huu tunao wa taabu na mambo ni wakati wa sisi kuomba (kwa Mungu)

kwa Mungu wa uweza (Mungu wetu) Mufalme wa wafalme (X2)

Refrain

Eyi tulie, eyi eh tulie yoyoyo tulie kweli twamie Mungu wetu mateso (mambo)

mambo haya mambo ni ya kale (mambo haya) yatujia leo Mungu atusikie

Enyi tulie, ee ee tulie yoyoyo tulie kweli twambie Mungu wetu at atenda (mambo)

mambo haya mambo ni ya kale (mambo haya) yatujia leo Mungu atusikie

2. Mungu, Mungu wewe ni muumbaji (Mungu wetu) uliumba watu (watu wote)

wakubali unayo yanena (sisi) sisi hawa twaomba twalia (Mungu wetu)

utuhurumie mu Yesu Mwanawe (X2)

3. Kwa Yule, kwa Yule asietambua (mutu Yule) mateso ya Yesu siku zote katika

Yudea (Mwokozi) Mwokozi alie tumwa kwetu sisi kwa kutuokowa katika taabu

zetu duniani.